naitaji mume wa kuoa ASP

naitaji mume wa kuoa ASP

mimi ai

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
89
Reaction score
30
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times
 
Hapo sema inexperienced, ukishatobolewa umetobolewa tu!
 
kweli sis amtafute manji

Halafu what the urgency (ndoa ndani ya week moja) aisee ngoja nimstue mdogo wangu, huenda kuna safari ya majuu, si unajua ma engineer wanavyotokaga! LOL
mimi ai, no ya simu vipi, ili interested candidate akupate haraka haraka!
 
Last edited by a moderator:
Huko kwenye telecom company hujawapata? Kwa nini?
Huyo mwanaume wa magari, nyumba na familia bora kama ulivosema ni mume wa mtu tayari.
Tafuta wa kwako........Kichwa ulichopewa sio nazi.
 
Huko kwenye telecom company hujawapata? Kwa nini?
Huyo mwanaume wa magari, nyumba na familia bora kama ulivosema ni mume wa mtu tayari.
Tafuta wa kwako........Kichwa ulichopewa sio nazi.

Very smart as always!
 
sifa zake
umri wowote
awe na hela za kutosha na maisha mazuri.gari ,nyumba.familia bora nk
ndoa tutafunga ndani ya wiki moja
awe HIV NEGATIVE NAOGOPA UKIMWI KULIKO CHOCHOTE
dini yoyote

sifa zangu
age.26
christian
engineer telecom company
tall ,white
partially virgin sex less than 10 times

Unaweza kupata mwanaume wa vigezo vyote lakini hasiwe mume bora kwako.
 
Mabwaku!nitoke vipi cku nyingi najiuliza....kama ni hivyo hata mie bikra
 
Engineer mzima unakua na uwezo mdogo wa kufikiri namna hiyo? Utampata huyo zoba wako! Na nna wasiwasi hata hizo "less than 10 times" unaziongelea ni za maprofesa wako a.k.a digrii zile za DC Gumbo
 
Back
Top Bottom