Naitaji mwanamke wa kuja kuwa mke wangu.....kama uko poa/ na unajua unachofanya soma hapa.........

Naitaji mwanamke wa kuja kuwa mke wangu.....kama uko poa/ na unajua unachofanya soma hapa.........

BRAISONY DANIEL

New Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1
Reaction score
0
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 natafuta mchumba anayejielewa nini anafanya ili awe mke wangu wa baadaye....awe na sifa zifuatazo.


awe na miaka kati ya 20-24

awe mkristo

elimu kuanzia form 4 na kuendelea

mkazi wa dar

tabia nzuri na mcha mungu

mengine tutarekebishana.

tuwasiliane kupitia email marandudaniel@yahoo.com
 
sasa hivi utawapata kuolewa sasa bonge la deal
 
Back
Top Bottom