B BRAISONY DANIEL New Member Joined Feb 13, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Feb 13, 2013 #1 mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 natafuta mchumba anayejielewa nini anafanya ili awe mke wangu wa baadaye....awe na sifa zifuatazo. awe na miaka kati ya 20-24 awe mkristo elimu kuanzia form 4 na kuendelea mkazi wa dar tabia nzuri na mcha mungu mengine tutarekebishana. tuwasiliane kupitia email marandudaniel@yahoo.com
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 natafuta mchumba anayejielewa nini anafanya ili awe mke wangu wa baadaye....awe na sifa zifuatazo. awe na miaka kati ya 20-24 awe mkristo elimu kuanzia form 4 na kuendelea mkazi wa dar tabia nzuri na mcha mungu mengine tutarekebishana. tuwasiliane kupitia email marandudaniel@yahoo.com
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Feb 13, 2013 #2 sasa hivi utawapata kuolewa sasa bonge la deal