hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
wakuu mambo vipi? Naitaji Mwanasheria Ambae ataweza kunisimamia kwenye ishu yangu ya mgogoro wa kiwanja... kuna mtu aliniuzia kiwanja ila badae nimekuja kugundua kuwa amemuuzia na watu wengine 2. ila mm ndie wa kwanza kuuziwa... na wale jamaa waliouziwa wameanza ujenzi sasa nataka kwenda mahakamani kufungua kesi so Naitaji Mwanasheria kusimamia hii show mzima