M MENGO KINGSLEY Member Joined May 23, 2024 Posts 22 Reaction score 12 May 23, 2024 #1 Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo, Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila leseni sina na sio mda nitakata, namba 0785598033
Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo, Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila leseni sina na sio mda nitakata, namba 0785598033
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 May 23, 2024 #2 Kama mkataba mpya ni miezi mingapi? KAZI ni kipimo cha UTU
M MENGO KINGSLEY Member Joined May 23, 2024 Posts 22 Reaction score 12 May 23, 2024 Thread starter #3 kawombe said: Kama mkataba mpya ni miezi mingapi? KAZI ni kipimo cha UTU Click to expand... Inategemeana na makubaliono YETU ,mfano kwa mwaka mmoja au mwaka mmoja na miezi miwili
kawombe said: Kama mkataba mpya ni miezi mingapi? KAZI ni kipimo cha UTU Click to expand... Inategemeana na makubaliono YETU ,mfano kwa mwaka mmoja au mwaka mmoja na miezi miwili