mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 Mar 9, 2019 #1 Wakuu habar zenu.. Nina bucha liko mbagala Naitaji mtu wa kuniletea samaki kwa bei ya jumla.. Samaki sato na sangara... Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu habar zenu.. Nina bucha liko mbagala Naitaji mtu wa kuniletea samaki kwa bei ya jumla.. Samaki sato na sangara... Sent using Jamii Forums mobile app
mahenda255 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 513 Reaction score 691 Mar 23, 2019 #3 mie nipo Mwanza naweza kukusaidia kupata vyote hivyo ila hujaweka wazi unataka wa kukaanga,wabichi(fresh) au wa kukaushwa??? ni pm tufanye biashara
mie nipo Mwanza naweza kukusaidia kupata vyote hivyo ila hujaweka wazi unataka wa kukaanga,wabichi(fresh) au wa kukaushwa??? ni pm tufanye biashara