Naitaji tution ya mwanafunzi anayetarajia kujiunga form5 hge

Naitaji tution ya mwanafunzi anayetarajia kujiunga form5 hge

Troojan

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
967
Reaction score
675
Wanajamvi naomba msaada kwa anaejua tution ya hge kwa mwanafunzi mtarajiwa wa form5.amechelewa kuanza so nilikua nahitaji centra au mwalimu atakaeenda nae kwa kasi kidogo ili kumtoa u olevl.mdogo wangu yupo dsm na tution iwe asubuh
 
mbona haja chelewa! Coz hata selection zenyewe bado?
 
Ni private anaenda kusoma huyo mwanafunzi sio gvt.tushamtafria shule.
 
Karume..... mchikichini, long time pale
 
Tatizo kule mbali sana na adi uwe umezowe mchakamchaka wa madaladala.hiyu ni mayai wa bording.ikipatkana ya kimara kimara.ubungo,mwenge ni sawa
 
Mpepetu mtoto amekaa sana nyimbani nahitaji apate pahala ambapo wataichangamsha akili yake kbla hajaingia darasani tena.sio kilaza ni mzuri tu.sema kikaa sana home bila kujishugulisha kunamfanya asahau baadhi ya vitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom