TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Wakuu habar za muda huu
Nina project naomba niwashilikishe ndugu zangu, ambapo mwisho wa siku tutapata ajira sisi sote, project inahusu utengenezaji na uandaaji wa program za masomo mbali mbali kuazia awali hadi kidato cha NNE, kwa phase mbali mbali, kwa kuanzia tutaanza kwa shule ya msingi hadi sekondar kwa upande wa masomo ya sayansi tu.
Hivyo nimefanya utafiti wa masoko na piaa utafiti wa gharama za awali kwa kuanzia hadi kufikia stage ya kupata master ya kazi yetu,kwa maana shooting,editing hadi kulewa master ya kazi yetu na kuwekewa security yabkutocopy mtu.
Gharama mpaka mzigo unakamilika ni milioni moja mpaka tunapata master ya CD zetu, kwa sasa gharama ni kubwa kwangu Mimi, nikaona nishilikishe ndugu zangu,tufanye wote project hii kwa kuhitaji watu 7-10 ambao watachangia laki moja moja,kwa kila memba.
FAIDA UTAKAYOPATA: Utapata ajira ya moja wa moja kwa maana tutafungua kmpuni kwa ujumla,utakuwa msimamizi wa moja husika kwa maana baada ya muda tutagawana mikoani kwa ajili ya kufanya masomo na kufungua ofisi zingine, utapat gawio la kila mda muafaka kutoka kwenye kampuni,utauwa miongoni mwa waanzikishi wa kampuni hii.
WANAOHITAJIKA: naitaji walimu waliosomea masomo ya sayansi kwa sekondari na English pia, nahitaji walimu shule ya msingi ambao wanafahamu masomo ya sayansi kwa shule za msingi, kwa walimu wa art sijawasahau na nyiny nawahitaji kwa maana mikoa ipo mingi ya kusimamia hii project,so wanahitaji sana.
Lakini pia kuna wengine sio walimu wapo fani mbali mbali wanahitaji kuwekeza hii project karibuni sana maana tunaweza kufanya hii project kwa kuwajir walimu kisha tukasimamia wenyew kazi baada ya kumalizika.
Masoko: masoko yapo ya kutosha sana maana kunauhitaji wa walimu kwenye masomo haya nchi nzimaa,hivyo wazazi hawatakuwa na shida kwenye kutoa pesa,kama wananunua series hawawez kushindwa hapaa,
GHARAMA: kila memba ataweza kuchangia kiasi cha laki moja ili tufikie lengo, kwa wale ambao wamevutiwa na project hii, naomba tuwasiliane kwa namba hii 0757994417, au PM, kwa lengo LA kupanga wapi pa kukutana ili tuanze safari hii, NB: NAOMBA WATAKAONITAFUTA WAWE WANAISHI DAR,KWA MAANA NI RAHISI KUKUTANA.ASANTENI