Naitaji watu kwa kuwauzia hisa za kampuni

Reachpoint

Member
Joined
Oct 7, 2023
Posts
18
Reaction score
22
Hello guys,

Nimefanikiwa kufungua Kampuni na kuagiza mzigo wa zaidi ya Mil80.

Changamoto iliyopo ni Demand ni kubwa kuliko supply, Naitaji watu kwa kuwauzia hisa za kampuni.

Kampuni imesajiliwa na ina vibali vyote na ina fanya Biashara na Kampuni ya kijerumani.

Napatikana kwa ,(reachpoint007@gmail.com).

Mungu awabariki.
 
Mjomba sema ni kampuni gani inayojihusisha na kitu gani .?

Naweza hata mimi kuja bado hela ya urithi haijaisha
 
Biashara za hisa kwa makampuni ya bongo ni uncertainty
Njia salama bongo ni kuwekeza kwenye Dhamana za serikali ( Government bills and Bonds
 
Hata wale wa cold email wanajazaga nyama kiasi kwenye maelezo yao.
 
Asanteni Ndugu kwa ushauri wenu.

Kampuni ina jihusisha na Kemikali na watu wanao fanya hizi mambo ni foreigners naweza kusema mimi ni Mtanzania wa Kwanza Kufungua hii kampuni maana competitors wangu ni Foreigners.

Nimejua hizi mambo baada ya Kufanya kazi kwa muda wa miaka 6 as a Managing Director.

Nimesema kwa mafumbo kwasababu si vema kuweka hadharani baadhi ya Mambo ila kama kuna mtu yupo serious tunaweza meet au tu arrange meeting na nka mwelezea kiundani pamoja na kumpa proposal.

Tanzania is a Developing country, not a Developed country, that's means kuna floods of opportunities.

Ndugu zangu kwa wale waliopata bahati ya Kusoma au kuishi Developed Countries hope wana nielewa nacho maanisha.
 
Uko sahihi na umeelezea vizuri.
Malizia kipengele cha bei ya hisa na minimum quantity to be purchased ili watu wajipime mfukoni.
 
Biashara za hisa kwa makampuni ya bongo ni uncertainty
Njia salama bongo ni kuwekeza kwenye Dhamana za serikali ( Government bills and Bonds
Mbongo anakugeuka au akauloga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…