sasa mbona hujasema amepata hizo D kwenye masomo gani? pia muulize ye anataka kufanya nini na maisha yake. yawezekana unamlazimisha afanye kitu ambacho hapendi na sio fani yake. kumbuka kufanikiwa na maisha sio lazima usome. jua fani yako, na itumikie kwa bidii na utafaulu maisha.
ili mtu afaulu maisha anachohitaji ni kuonyesha bidii kwenye kipaji chake tu. na kipaji hicho sio lazima asoma. sina haja ya kutoa watu waliofanikiwa bila kwenda shule, wote tunawafahamu.
asante mkuu kwa mawazo yako ntajaribu kuongea nae kuhusu hilooMpeleke veta au cbe akasomee certificate, kuna mdogo wangu alipata D mbili tena english na civics lakini nilienda pale nikaombaomba kisanii lakini akapata, alivyoanza kusoma alisoma kwa bidii sanasana akapata first class badae nikampeleka ifm kamaliza na upper second. kwa hiyo wala usikate tamaa muulize kama yuko tayari anza kama nilivyokuelekeza.
Kweli kabisa mkuu sina cha kuongeza.sasa mbona hujasema amepata hizo D kwenye masomo gani? pia muulize ye anataka kufanya nini na maisha yake. yawezekana unamlazimisha afanye kitu ambacho hapendi na sio fani yake. kumbuka kufanikiwa na maisha sio lazima usome. jua fani yako, na itumikie kwa bidii na utafaulu maisha.
ili mtu afaulu maisha anachohitaji ni kuonyesha bidii kwenye kipaji chake tu. na kipaji hicho sio lazima asoma. sina haja ya kutoa watu waliofanikiwa bila kwenda shule, wote tunawafahamu.
Kwanza hongera sana mkuu kwa moyo mzuri wa kumsaidia mdogo wako kupata elimu na bado kuendelea na nia ya kumsaidia.oky mkuu ana D ya history na english...nimejaribu kukaa nae jana jioni nikamuuliza matokeo ndo hayo mabaya sasaa wewee unataka kufanya ninii namuona hadi sasaa hana jibu,hajui anataka ninii nime mpaa one week anipe jibu au nimrudishe akapumzeke kwa mamaa ake sio kwangu
habari wandungu...nihivi nina mdogo wangu ninae msomesha,kaitimu form v mwaka jana,kama matokeo mlivyo ona watoto wamefail sana mwaka huu.mdogo wangu alimaliza mwaka juzi ila alipata four ya 30 kwa vile nilitaka aendelee na for v...nilimwambia arudie tena form iv yanii sasa hivi ndo mbaya zaidi kapata iv ya 33 ana D mbili tu nyingine zote F.msaada wangu nnaotaka kwenu wa kuni huu
[1]JE KUNA COLLAGE YOYOTE AMBAYO ANA WEZA KUPATA
[2]KITU GANI ANAWEZA KUSOMEA KUTOKANA NA ALAMA ALIZO PATA[NIWAKIKE]