Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,294
- 10,970
Habari.
Chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma ilikuwa ya kutetea masilahi ya taifa ,ya kujenga hoja na mara zote ilikuwa raha kuwasikiliza wakiibua hoja ufisadi mzito kwenye mikataba .
Leo Chadema imekuwa ya kutetea masilahi ya mabeberu, hawajengi hoja tena kazi yao ni kuokoteza tu,na kushangilia ndege za watanzania zinapokamatwa au madini yanapotoroshwa nje!!!!
Chadema kutoka kupigania masilahi ya taifa hadi kupigania masilahi ya mabeberu.!! Hivi chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma imeenda wapi?
Au ndiyo laana ya Dk Slaa??