Wakati huo hata mimi nilikuwa kamanda mtiifu, lakini niliachana na hawa jamaa wa ufipa baada ya kuanza kuzungusha mikono na kudeki lami.Habari.
Chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma ilikuwa ya kutetea masilahi ya taifa ,ya kujenga hoja na mara zote ilikuwa raha kuwasikiliza wakiibua hoja ufisadi mzito kwenye mikataba .
Leo Chadema imekuwa ya kutetea masilahi ya mabeberu, hawajengi hoja tena kazi yao ni kuokoteza tu,na kushangilia ndege za watanzania zinapokamatwa au madini yanapotoroshwa nje!!!!
Chadema kutoka kupigania masilahi ya taifa hadi kupigania masilahi ya mabeberu.!! Hivi chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma imeenda wapi?
Au ndiyo laana ya Dk Slaa??
Kibaya zaidi, CCM na Vyombo vya Dola hakuna Tofauti. Wanajidandanya eti hawachekwi kama zamani, Wangejua kwasasa ndiyo inadharaurika Zaidi ya Kipindi cha nyuma. Shida, ukiwacheka na kuwazomea unakuwa unamzomea Jiwe na PoliCCM pamoja na TICCM.Tatizo ni misingi ya chuki na utengano uliojengwa na awamu hii. Yeyote mwenye mawazo mbadala hata ndani ya ccm kinyume na mtukufu hatakiwi. Tunahitaji katiba bora kuweka misingi imara.
Kibaya zaidi, CCM na Vyombo vya Dola hakuna Tofauti. Wanajidandanya eti hawachekwi kama zamani, Wangejua kwasasa ndiyo inadharaurika Zaidi ya Kipindi cha nyuma. Shida, ukiwacheka na kuwazomea unakuwa unamzomea Jiwe na PoliCCM pamoja na TICCM.
Muwarudishe majasusi yenu ya 2014 kurudi nyuma muone.Habari.
Chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma ilikuwa ya kutetea masilahi ya taifa ,ya kujenga hoja na mara zote ilikuwa raha kuwasikiliza wakiibua hoja ufisadi mzito kwenye mikataba .
Leo Chadema imekuwa ya kutetea masilahi ya mabeberu, hawajengi hoja tena kazi yao ni kuokoteza tu,na kushangilia ndege za watanzania zinapokamatwa au madini yanapotoroshwa nje!!!!
Chadema kutoka kupigania masilahi ya taifa hadi kupigania masilahi ya mabeberu.!! Hivi chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma imeenda wapi?
Au ndiyo laana ya Dk Slaa??
Ukweli ni kwamba wamekua watu wa kulialia tu hamasa hakuna hawajengi tena hoja imebaki kuokoteleza tu yaani imekua matatizo mfano miaka uliotaja movement for change m4c opalation sangala kweli walikua wanapendeza Leo mmmm ujinga mtupu tuhoja twa kuokoteza wamefeli wamebakiza mipasho tu kama kwenye taarabu wanayo laana.Habari.
Chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma ilikuwa ya kutetea masilahi ya taifa ,ya kujenga hoja na mara zote ilikuwa raha kuwasikiliza wakiibua hoja ufisadi mzito kwenye mikataba .
Leo Chadema imekuwa ya kutetea masilahi ya mabeberu, hawajengi hoja tena kazi yao ni kuokoteza tu,na kushangilia ndege za watanzania zinapokamatwa au madini yanapotoroshwa nje!!!!
Chadema kutoka kupigania masilahi ya taifa hadi kupigania masilahi ya mabeberu.!! Hivi chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma imeenda wapi?
Au ndiyo laana ya Dk Slaa??
Shauri yako.Ata tembea yako inayonyesha kua wewe mtumwa wa siku nyingi huko CCM kama mimi
Chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma ilikuwa ya kutetea masilahi ya taifa ,ya kujenga hoja na mara zote ilikuwa raha kuwasikiliza wakiibua hoja ufisadi mzito kwenye mikataba .
Kupigwa risasi mbunge ndiyo sababu ya chadema kuacha kutetea masilahi ya taifa?