GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wengine hatujazoea kabisa unafiki, kujificha au hata tu kukaa na jambo moyoni.
Na kuna mpuuzi mmoja (nimemsahau jina) wiki hii alitutaka Watanzania (tena kwa kutufokea) kuwa watu wa Yanga SC na Simba SC tupendane na tushangiliane (tusapotiane) hasa tukiwa tunacheza Kimataifa.
Na kilichonishangaza zaidi kuhusu (kumhusu) huyo mpuuzi mmoja ni kwamba wakati leo akitufokea na kutulazimisha (kututaka) wana Simba SC tuache chuki kwa Yanga SC na tuisapoti, yeye alikaa kimya na hata hakumkanya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara pale alipozitaarifu timu zote ambazo zitakuja kucheza na Simba SC Tanzania (kwa Mkapa) kuwa ziwe makini, kwani Simba SC huwa inamwaga dawa vyumbani na hata kuua ili ishinde.
Kudadadeki kila la kheri Al Hilal FC!