Naitazama Katiba mpya kama "software" inayopaswa kuwa installed kwenye vichwa vya watu

Naitazama Katiba mpya kama "software" inayopaswa kuwa installed kwenye vichwa vya watu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kubadili fikra zilizojengeka kwenye vichwa(hardware) za wana-CCM wengi ili waendane na matakwa ya wananchi kwa kuwawekea vichwa vingine(vyenye mtazamo na fikra tofauti), ni jambo lisilowezekana bali njia pekee ya kuwafanye wafikiri kama wanachi walio wengi,ni ku-install software mpya (katiba mpya) ili tuweze kuwa-programme kwa kutumia hii new softaware na vichwa vyao vikalazimika kufanya kile wananchi wanachokita kwakuwa watakuwa programmed kulingana hii software.

Yeyote mwenye basic knowledge ya IT/computer atakuwa amenielewa.
 
Back
Top Bottom