Car4Sale Naitoa hii Scania 114 kwa bei ya offer

Car4Sale Naitoa hii Scania 114 kwa bei ya offer

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
5,858
Reaction score
2,697
Ni Scania 114 340
8×4 8 Gears
Manual gear

Imeshalipiwa ushuru lakini bado haijasiliwa.
Asili yake ni body ya Tipa lakini ilitolewa huko huko nje.
Tunaitoa kwa bei ya milioni 105 (Maongezi yapo)

Kwa maswali zaidi tunawasiliane 0658124554

1456412194.jpg
IMG-20210616-WA0052.jpg
 
Hivi hii siwezi kuunda ya kwangu kweli na mimi nikawa nayo.... ngoja
 
Details zaidi
Scania 114c 340
Mwaka 2004
Cc 11700
Configuration 8x4
8 gears manual
Tipping truck without body
 
Back
Top Bottom