Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
Inawezekana kabisa, nashauri chukua kwanza hii kisha ichangue yote halafu irudishieHivi hii siwezi kuunda ya kwangu kweli na mimi nikawa nayo.... ngoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya nimekuchek pmInawezekana kabisa, nashauri chukua kwanza hii kisha ichangue yote halafu irudishie
hahahaInawezekana kabisa, nashauri chukua kwanza hii kisha ichangue yote halafu irudishie
Karibu sana bossMzee kibini konzi hii
Kibini mahakama hiyo.Mzee kibini konzi hii
Na mimi nilitaka kusema hilo kwa Masada dah kizimba hicho hamna kulala. Nilishatokaga huko muda sana. Labda upige bodi la tipa tena iwe trip town tuKibini mahakama hiyo.
Chuma kwelikweliChuma hiyo
Dah! Huku sasa ni kutiana majaribu. Mkuu huyu mnyama ni manual au auto? Natamani awe manual.Nipe milioni 9.5 uchukue hii chumaView attachment 1824329View attachment 1824331View attachment 1824332View attachment 1824333
Mkuu naomba details za hii gari, tafadhaliAu chukua hii Faw kwa milioni 45 mkuuView attachment 1824013View attachment 1824014View attachment 1824015
Hii Manual lakini ishatokaDah! Huku sasa ni kutiana majaribu. Mkuu huyu mnyama ni manual au auto? Natamani awe manual.
Hii ni Diesel ManualMkuu naomba details za hii gari, tafadhali