Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #21
Dah...hili ndiyo chuma sasa... Hakuna cha sensor wala control box ...hata kijana wa Veta atoke chuo leo anarekebisha...magari mengine sensor hadi kwenye honi....inanyeshewa na mvua inazima...kuwaka hadi utumie kompyuta...inapigwa na jua inapoteza nguvu...kurekebisha hadi ugugo ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Toyota Land Cruiser
Model pickup truck
79 series 2008
singel cabini
Coil spring
Engine 1HZ
price 45M View attachment 1828212
Landrover discovery ndo michezo yakeDah...hili ndiyo chuma sasa... Hakuna cha sensor wala control box ...hata kijana wa Veta atoke chuo leo anarekebisha...magari mengine sensor hadi kwenye honi....inanyeshewa na mvua inazima...kuwaka hadi utumie kompyuta...inapigwa na jua inapoteza nguvu...kurekebisha hadi ugugo ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa mkuuNitakupm kina mdau anaziuza scania zake namba c scania mende nayo
Kibini mahakama hiyo.