Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

[emoji2][emoji2] Mambo ya kilimo haya acha kabisa, Siku nimeamua kurudi shambani nilienda kumuaga maza,

Alichonijibu "Unadhani Kilimo unachoenda kufanya ni tofauti na kile ulichokua unafanya kwa bibi yako? Haya kila la kheri" baada ya kurudi toka shamba mpaka leo nimetulia zangu kwa mkaburu sina shobo na mashamba kabisa.
 
Huyo mzee nataman angekuwa dingi yangu, yaan ningemfanya role modal wangu.

Hakika ni mwanaume wa kwel.

Nadhan ukauzu wake ndiyo ulikufanya uwe unahangaika na kuzitafuta fursa.
 
Hahaa
 
Sijui kwa nn nimejiskia kulia sipati picha mbele baba yako alikuwa na hali gani?? Polee
 
Kwenye kilimo umenigusa acha kilichonipata Miezi miwili iliyopita kifo kulikuwa jirani Aisee pressure ilikuwa mlangoni
Aisee the same to me.
Kilichonikuta mwaka huu n balaaa
Nimekodi nimekodi sehemu kubwa sana ya kulima mpunga kwa pesa nyingi jumlisha walimaji wapandaji daaaa kilichonikuta,
Jua limepiga mpunga ote kwisha yan sijavuna hata gunia moja aisee.
Kilimo sikia tu mwenzio amelima amepiga gunia 50.
 

Niliwekeza kwenye huo huo mpunga kwa misimu miwili sasa. Imetosha kunifunza. Somo kubwa kabisa ni kwamba usije kuthubutu kuweka hela ya kukopa kwenye kilimo
 
Ni kweli kabsa mkuu unavosema maana unapata hasara mara mbili
Niliwekeza kwenye huo huo mpunga kwa misimu miwili sasa. Imetosha kunifunza. Somo kubwa kabisa ni kwamba usije kuthubutu kuweka hela ya kukopa kwenye kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…