Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

"we ukimpata nipe namba yake mi nitamaliza kila kitu" mpe namba yangu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu umetisha sana, kuna mafunzo makubwa sana katika huu uzi wako, hasa kwa ambao tumeshakuwa baba, msimamo & upendo ni jambo la muhimu sana japo haya mambo hayatakiwi kuingiliana kabisa, nimejifunza kwa baba yako japokuwa alikuwa anakupenda sana lakini alibaki na msimamo wake ujifunze kitu katika maisha, na akahakikisha umekikamilisha hata pale ulipoamua kurudisha mpira kwa kipa...hakika wewe ni muandishi bora kabisa, God bless You
 
Thanks chief. Natumai umejifunza kitu.
Nitazdisha uhusiano nilio nao na baba yangu

Kuna kipindi nilipitia changamoto kubwa kwnye mambo ya mahusiano

Thread ipo humu

Yeye alikuwa bega kwa bega na mimi

Alichukua hadi pesa yake kunipeleka kwa psychologist

My dad my hero,Mimi ni Baba yangu, na Baba yangu ni Mimi.

I am closest to my father, as he is my rock, my pillar of strength, and my world. Not only has he stood by me through all times - happy, sad, and otherwise - but there have even been moments when I had completely lost hope, and his immense belief in me had lifted me up.
 
Mm ni tofaut kidgo baada ya kukataa nikiwa nyumbani lakin hela ya ada ilitumwa shule
Nikikmbuka hua napata funzo fulani la maisha .......
 
Ni Jambo jema kuwa nao karibu hawa wazee wetu ingawa wengine si waongeaji kama wa kwangu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…