Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Story nzuri sana hii.
 
Daa mkuu hongera sana kwa kutupatia elimu hii ya bure inayohusu maisha yako, hakika nimejifunza mengi sana kupitia simulizi hii ya maisha yako. NOTE: kama hauna pesa muachie MUNGU kazi ya kukulindia mkeo 😂 😂 .
 
😭😭😭😭😭😭😭

Kweli nimeamini usimuamini mwanamke. Ngoja nionane na yule baby wako myplusbee
Wewe na huyu Khantwe wangu mnachokitafuta mtakipata tu! Manake mara msubiriane bandarini, mara airport! We si ulisema offer ya kwenda Zanzibar utaitoa nikishafunga ndoa na my Princess Khantwe?! Sa' huko bandarini mlikokuwa mnasubiriana mlikuwa mnaenda wapi?! Halafu ndo maana tangia juzi Khantwe namtafuta lakini simuoni! Khantwe! Khantwe! Nakuita mara ya tatu, Khantwe! Nimemaliza!
 
Baharia wa nchi kavu baba kauzu ila ndio amesababisha ujue kutafuta maisha
 
Asante sana mkuu kwa story yako ina mafundisho mengi sana
 
Yaani. ..mimecheka hapo alipo kutana na mdingi wake dah! !! Aliumbuka sana yaani ni kheri angekutana akiwa Katika hali nzuri kiuchumi
Aiseee na ww bhana?!,ss aumbuke kwa sababu gan labda sana sana amemwonyesha dingi yake kuwa na yy ni mwanaume na anapambana kwa kila namna
 
Mie nilidhani nmepitia magumu ila nmekunyanyulia mikono, babaako hana tofauti sana na babaang aiseee uwiiiii, kuna vijisehemu vimenitoa machozi kama mama nikawaza yule mwanang alipoteaga kwa masaa tu nilihisi kuzirai sembuse miaka yoteee ,hongera sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…