Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Abee
 
Mkuu thanks for sharing an inspirational story

Ila paragraph ya mwisho umeweka umemaliza chuo 2017 hapo kidogo umenichanganya madesa au kuna sehemu sijasoma?
 
Binaadamu tunatofautiana sana Katika uelewa wa mambo. ..Asante kuku -Ni quote
Aiseee na ww bhana?!,ss aumbuke kwa sababu gan labda sana sana amemwonyesha dingi yake kuwa na yy ni mwanaume na anapambana kwa kila namna
 
Hope baadae ishafika eh
 
Analyse Analyse Analyse...yes Nimekuita mara 3

unapoongea na watu tegemea sana msaada wao,ila usitegmee huruma yao" maneno ya BABA analyse

Mshua wako ni shujaaa mkuu,nasema hiviii Your dad kanifundisha kitu kikubwa sana cha kunifanya kuwa BABA BORA...nimependa simulizi yako lakini nimeipenda zaidi kila ninapofika kipande cha wewe kumsimulia baba au baba akiongea na wewe...Nimempenda sana BABA ako.

ni baba wakujifunza,ni baba somo,ni baba mwalimu mzuri He deserve what we call an AWARD..story hii tamuuu ila mwalimu wa story ni Baba analyse..(kwa upande wangu lakini)

Asante kwa story,ubarikiwe.
 
Kuna maneno mazito humu,

Na kuna nilichojifunza, kuna jambo limewahi kunitokea kati yangu na mzazi mwenzangu same story na ya baba yangu

Linanitesa sana kifikra huenda nikizungumza na mzee wangu nitaelewa alimalizana nalo vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…