Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Ndio maana nikashangaa mtu gani alikataa shule lakini anaandika hivi?

Dah hii stori ni kali sana

Imeshiba jumbe nzito
 
Wengi hawajaielewa hii stori

Mwandishi anarudia mara nyingi kuwaambia sehemu kubwa ni baba yake, yeye machache

Imekua ngumu kuelewa
 
Wengi hawajaielewa hii stori

Mwandishi anarudia mara nyingi kuwaambia sehemu kubwa ni baba yake, yeye machache

Imekua ngumu kuelewa
Labda kule kuacha shule ndio uanaume.

Mi bado nimeshangaa amefanya vibarua shambani hadi vya kupakia na kuchimba tangawizi alishindwaje kuingia shambani kuvuna mbaazi eka 5. Akaziacha zioze eti kisa bei ndogo...mtu anamsifia Ni mwanaume.

Mtu anatapeliwa eti ukitaka kupata Rupia lazima kuwe na mjerumani ama muisrael na vichaa bado anaamini...kwi kwiiii halafu Kuna mtu anamsifia Ni mwanaume....khaaaa...

Mtu hataki kusoma HKL anaamua kuacha shule wakati watu wanabadili kozi wengine hadi shule bila wazazi wao kujua...eti mtu anamsifia Ni mwanaume... jamaniiii.
 
Una sound kibabe sana lady!!!
Utakuwa mnyasa wewe. ( kiding)
 
Please Analyse au mwingie yeyote iweke kwenye one file
Nimeona nikiweka in one file, itakuwa ndefu sana. Hata hivyo kwenye page ya kwanza nimeweka link zote, kwamba ukitoka kusoma kipande kimoja unabonyeza link inakupeleka kwenye kipande kingine.
 
Mbona kama umeumia sasa dada angu kwahiyo kauli? Kila mmoja huwa na mtazamo wake, anavyoona yeye ni tofauti na unavyoona wewe, sio lazima mkubaliane. Muache abaki aonavyo yeye, kadhalika na wewe baki na uonavyo, hakuna haja ya kulumbana.
 
mh
 
Hapana

Sijaumia hata kidogo.

Wala sikujui naumiaje sasa jamanii.

Nimetoa tu maoni Kama walivyotoa wao.
 
Reactions: T11
Nimeona nikiweka in one file, itakuwa ndefu sana. Hata hivyo kwenye page ya kwanza nimeweka link zote, kwamba ukitoka kusoma kipande kimoja unabonyeza link inakupeleka kwenye kipande kingine.

Thaks budda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…