stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Huyu mgeni nishamjua katokea wapi we si ndio unaitwa Daudi A. B. Mzee wa mavyeti yaukweli
Dada mkuu embu muulize kama ana mchumba...nina lidogo langu tukutu hapa nyumbani nimpatie!karibu mkuu .. pesa yako tu sport unapata
Ehee tabuyake ninHahahahaha aakweli Daudi shujaa ni aliye muua goliati ..ila hawa wengine ni taabu tupu
aisee sikushauriDada mkuu embu muulize kama ana mchumba...nina lidogo langu tukutu hapa nyumbani nimpatie!
Best Dogo keshamaliza Masters yupo kiboya boya tu hapa kazi kujibu tu wanaume vibaya...umri ukisogea sana thamani itakushuka please mbembeleze Daudi akikubali tumuozeshe na tumpe na gunia la mchele na maharage ya kula mwaka mzima wakati wakiwa orientation year!aisee sikushauri
basi sawa,,, nimekuelewaBest Dogo keshamaliza Masters yupo kiboya boya tu hapa kazi kujibu tu wanaume vibaya...umri ukisogea sana thamani itakushuka please mbembeleze Daudi akikubali tumuozeshe na tumpe na gunia la mchele na maharage ya kula mwaka mzima wakati wakiwa orientation year!
Tafiti iliyofanywa wanaume wanaopenda kuandika kwa kifupi wengiwao ni vibamia.
Na please kama hajakuwa tayari kuwa na mchumba tunampa warrant ya one year kama product haimfai arudishe tu kiwandani procurement ifanyike upya kwa eligible bidder!daudi una mchumba?
daudi soma maelezo kwa umakiniNa please kama hajakuwa tayari kuwa na mchumba tunampa warrant ya one year kama product haimfai arudishe tu kiwandani procurement ifanyike upya kwa eligible bidder!