Naitwa edwini mhogo kutoka shule ya msingi SHilawadu darasa la 5 B. Clouds Mungu anawaona

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
1,025
Reaction score
1,238
Kila nikitune redio nakutana na " wezeshaaaa...muwezesheeee...tuma pediiii, au helaaa kwenda namba 555 na uchafu". Shaabash

Eeeeniweei ila Clouds Media mmezidi. Imagine mtu mzima kama mimi unaniambia nitoke kwa mtogole nipeleke pedi Mlimani City🙂

Eeeniwei, ila mbona kila mbona mnaemshikia bango kuwa amejiwezesha unakuta ni mama? yaani ni jimama haswa halafu dada la mujini!!! 🙂

Tusipakane mgongo kwa chupa ya mafuta, HAKUNA MWANAMKE ANAYAJIWEZESHA, WOTE HUWEZESHWA. sio mama yangu sio dada, feminism is simply weak.

Kwanini hamumuwezeshi mtoto? huyu ndio anayehitaji kuwezeshwa: elimu, afya, kinga, etc. Nyie mko bize na makahaba ya mujini eti wamejiwezesha.

Naitwa edwini mhogo kutoka shule ya msingi SHilawadu darasa la 5 B. Clouds Mungu anawaona
 
Watanzania bwana ukiamua kwa mapenzi yako bila kushauriwa na mtu ukatengeneza barabara mtaani kwako utasikia yule tapeli tu kwanini hiyo ela asingejenga zahanati.
Kama unaona zahanati ni bora jenga wewe maana hata barabara siyo jukumu la mwananchi binafsi kutengeneza bali ni jukumu la serikali.
Kama unaona clouds kuwezesha wanawake wanakosea wanafaa kuwezesha watoto, itakuwa vizuri wewe mwenyewe ukachukua hilo jukumu...
 
Watanzania kwa kulialia tumewazoea.
 
Hata wewe kuna kitu vitu unavyo vifanya kuna watu hawavipendi ila wengine wana vipenda....

Mwafrika huwa haridhiki kwa 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…