Naitwa NYOSSO

Naitwa NYOSSO

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Habari wakuu,

Naitwa Nyosso, nimeamua kujiunga na mtandao huu ili tuweze kubadilishana mawazo. Kama jina langu lilivyo, ukiniletea fujo nina kuNyosso kama kawaida.
NYOSSO
 
Last edited by a moderator:
habari wakuu,

naitwa nyosso, nimeamua kujiunga na mtandao huu ili tuweze kubadilishana mawazo. Kama jina langu lilivyo, ukiniletea fujo nina kunyosso kama kawaida.
nyosso
aaaahhh mjomba.......
 
Mechi na wife inakuaga hivyo Nyosso ???? Daaah sa dole si litakua linanuka avi jombaaa
 
Weewee, ujue Una ban kitaa ya 2yrs..unatafuta ya maisha hukueee...haya mgeni karbu!!
 
Back
Top Bottom