Naitwa Ombeni Mkumbwa

Joined
Mar 1, 2019
Posts
29
Reaction score
11
Natumia jina la AFYA YA MAMA NA MTOTO, kwa sababu hicho ndo kitu ninachodeal nacho, nimeanzisha magrup ya facebook instagram na youtube channel inayoenda kwa jina hilo la Afya ya mama na mtoto,lengo ni kuelimisha jamii kuhusu mama na mtoto, ila kwa sasa nipo hosptal ya Rufaa KCMC mkoani kilimanjaro,Axanteni sana ndugu zangu,naamin tutakuwa pamoja kwmy hii jamii forum

AFYA YA MAMA NA MTOTO
 
Mwenyeezzi Mungu akubariki na akupe wepesi kwa amali hii Karim...
 
KCMC umelazwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…