Naitwa Saidi Ramadhani Ally maarufu kama Side Makini Entertainer

Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Wew ndo yule side mnyamwezi!?
Hapana side mnyamwezi alikuwa ni msanii alishafarikigi Mimi ni Side Makini Entertainer.

Muimbaji wa ‘Hujafa Hujaumbika’ na ‘Usidharau Usiyemjua’ Side Boy afariki dunia​

Muimbaji wa muziki wa Bongo Fleva Said Salim aliyekuwa akitumia jina la kisanii la Side Boy Mnyamwezi amefariki dunia.

Side Boy amefariki leo katika hospitali ya Nyangao iliyopo mkoani Lindi. Aliwahi kutoa nyimbo kadhaa zikiwemo ‘Hujafa Hujaumbika’, ‘Usidharau Usiyemjua’ na ‘Kua Uyaone.’
 
Dah umenitoa machoz mkuu ,karibu if Mungu akufanikishe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…