Hakika kila jina lina maana yake,ila langu maana yake,ni nzito na inatisha je unatabari nini kitakuwa msingi wa simulizi yangu kwa wana jf wenzangu na unadhani utapambwa na picha gani kati ya hizi?
Picha ya msalaba
Picha ya kaburi
Picha ya sifileo akila vyombo,
Pcha ya sifileo akiwa na mtot mkaliiii balaaa wanakula na kunywa viagra?
Picha ya sifileo akiwa Kanisani.