nimekua nikifuatilia mikasa, ushauri, habari, na matangazo mengine hapa jf kama mgeni, lkn leo nimeamua kujiunga rasmi kenye hili jukwaa kama member. Naomba wanajamvi mnipokee kwa mikono miwil, ILA nitakapokosea naomba kurekebishwa na sio matusi, kwa sababu wengine hatujaelewa vizuri mambo y humu ndani.
Naomba kuwasilishaπππ