Naj atia maguu kwa mama mkwe

Naj atia maguu kwa mama mkwe

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Apo chacha!!
Mrembo kutoka Bongoflevani Naj ambaye kwa sasa ni
mpenzi wa mkali anayemiliki mdundo wa ‘Nisamehe’ Baraka
the Prince, Leo October 15 anazichukua headlines baada ya
kuelezea exclusive baada ya kwenda nyumbani kwa mpenzi
wake na maneno waliyoongea na mama mkwe wake.
‘Unajua Idea ya kwenda kwa kina Baraka aliitoa Baraka
mwenyewe, nilivyosikia ananiambia vile nilijisikia raha
sana, nimekaa kama siku nne Mwanza na sikutegemea
jinsi walivyonipokea maana nilijua wataniona mimi ni
culture za kizungu sana‘>>>Naj
‘Tumeongea mambo mengi sana na mama yake baraka
vingine ni siri yangu lakini vingine ni kuhusu vyakula
anavyopenda baraka na ambavyo avipendelei, pia
aliniambia kuwa baraka huwa hapendi kula nyama‘ Naj
 
Jana SHILAWADU katika kipindi cha weekend chat show cha Clouds Tv mdogo wake na baraka da prince alifunguka sana kuhusu Naj na Baraka
 
Huyo Baraka akitaka kumweza huyo binti amtie mimba kwanza, ila tatizo vijana wa Dar mayai sijui wanakaangia chipsi, unakaa na binti zaidi ya mwaka hata kichefuchefu hasikii
Dah mdogo wake Baraka kasema huyo demu mwili ndo mtaji wake. Ina maana kila anayeweza anafumua marinda tu. Sasa demu wa hivyo hata ukila dona na dagaa atashika mimba vipi wakati mwili ndo ofisi?
 
Huyu naj ni wakishua hafati pesa kwa Baraka ila anaushamba wa kupenda wasanii maana mwanzo alikuwa anatoka na Blue
Mdogo wake Baraka kasema Naj hana cha ushua ila mwili wake ndo mtaji wake. Dah next week naona atamvua nguo kabisa
 
Huyo Baraka akitaka kumweza huyo binti amtie mimba kwanza, ila tatizo vijana wa Dar mayai sijui wanakaangia chipsi, unakaa na binti zaidi ya mwaka hata kichefuchefu hasikii
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mayai yamewazd mkuuu
 
Culture ya kizungu sana, tehe tehe tehe

Let me take a selfie...

 
Back
Top Bottom