Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
YawezekanaWewe ndio yule "da prince"?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu unavunja mbavu sasaYawezekana
Du mwnyw ana tutako twa kujaa kwny mkono mmoja, ana miguu km fito
Nywele na sura tu nayo ni asili yake vinginevyo hashtui hata kundi la nzi
Ndo ukweli lkn[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu unavunja mbavu sasa
Unatumia weed Kali sana Mkuu nmeku pm unambye unaipata wap hyoEti bonge la demu mi nimekuja mbiyo nikidhani ni kibonge
mkuu unaweza kusaidia kapcha full nione na kuamini lisemwaloNi Mtazamo tu
Daah,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]da prince atalia jamaniiiYawezekana
Du mwnyw ana tutako twa kujaa kwny mkono mmoja, ana miguu km fito
Nywele na sura tu nayo ni asili yake vinginevyo hashtui hata kundi la nzi
Na alie tuDaah,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]da prince atalia jamaniii