Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana
Karibu
asanteni sana wakuu...nimekuwa nikitembelea jf kama mgeni kwa miaka mitano...sasa nimeamua nijiunge kwenye karamuView attachment 389217karibu sana mende msafi
Uhondo wa ngoma uingie kati urindime kwa kufuata midundo karibu sanaasanteni sana wakuu...nimekuwa nikitembelea jf kama mgeni kwa miaka mitano...sasa nimeamua nijiunge kwenye karamu
asante sana mkuuKutoka kwenye machemba mpaka jf..karibu mende
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kutoka kwenye machemba mpaka jf..karibu mende
Hahahaaah eti mende msafi.![emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 389374
Labda wa kichinaHahahaaah eti mende msafi.!
KabisaLabda wa kichina
Kwa jinsi ulivyo-quote double inaonesha wewe ni mzoefu sema umebadili nguo tu.asanteni sana wakuu...nimekuwa nikitembelea jf kama mgeni kwa miaka mitano...sasa nimeamua nijiunge kwenye karamu