We nipm
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
Huyu dada kila akishapiga chupa zake za konyagi anakuja na mambo ya ajabu mara nimemkopesha mume wangu hataki kulipa,mume kumuua mwanetu,kanizuia kuingia kwangu kazungusha ukuta kwa hela zangu mradi vurugu tupu na ukimuuliza maswali anataka um-pm,ukimshauri hataki. Nadhani ni mtu anayependa kuonewa huruma mjomba wangu anawaita tumefiwa type lol !
Ni halisi.maudhi,ubabe dharau,wwizi,utapeli ndo vinavyochochea.sijui kama mtamwona tena hapa jf!
Muombe Mungu akushindie, maana unaweza kuua mtunajaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
this time labda akimbilie machame.but ustaarabu nao una mwishokimtokacho mtu kinywani mwake ndicho kiujazacho moyo wake....Huyu dada nakumbuka alikuwa na bifu na drphone hapa mara ya mwisho kuwasoma. Sasa naona karibu watauana.
this time labda akimbilie machame.but ustaarabu nao una mwisho
Saaa nyungine umekaa sana darasani Umechukua notice nyingi sana sasaKila kitu unasoma mara mbili mbili hakunaKinachopanda sababu umechoka..Unachofanya unatoka nje kupata fresh airLabda na maji kidogo ukirudi unawezaKu concentrate na ku process vitu vema zaidi..likizo??how?????
nakuomba sana umuache tu hai huyu ndugu yangu,ntaongea nae wala usiwe na wasiwasi,this time labda akimbilie machame.but ustaarabu nao una mwisho
najaribiwa sana sana!lkn ni kutokana na mabaya mengi aliyonifanyia.nilijaribiwa kufanya vitu vingi vibaya lkn nimeishinda nafsi yangu!lkn kwa sasa najaribiwa tena kumfanyia kitu mbaya but ni kwa sababu bado anaendeleea kunifanyia mabaya.yan this time sijui kama nitaishinda nafsi yangu coz its too much jamani!
Machame agaiin?this time labda akimbilie machame.but ustaarabu nao una mwisho