teh teh na arekebishe mapema sana itakua pona yake!!Rekebisha hiyo yale=Yake maana akija hapa lazima akutumbue
Kosea uone, atakuja fastaShe's on the way coming
Unakipaisha ......Usijipendekeze kwa huyo dada atakuumbua, usimchukulie poa kabisa ukadhani ni mjinga fulani hivi, huyo dada anajua anachokifanya na kama huamini jiingize naye kwenye ligi kwa kutumia data ndio utamjua vizur
Kama kaishi Canada basi ndo yule nnayemdhaniaBibi ana exposure ya kutosha.
Kaishi sana Canada.
Hana mpango na Magufuli kwa taarifa yako.ukitaka kumjua vizuri ongea vibaya kuhusu imani yake ama chama tawala au kosea kuandika baadhi ya maneno.....