Najaribu kufungua akaunti ya kikundi lakini napata ujumbe huu

Najaribu kufungua akaunti ya kikundi lakini napata ujumbe huu

moreen mollo

Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
15
Reaction score
8
Niko katika ufunguzi wa Akaunti ya Kikundi ila ninapata huu ujumbe

downloadfile.jpg
 
Kikundi kimeshaomba tayari mkopo kwa hiyo huwezi omba tena labda mpaka hayo maombi yawe rejected ndio unaweza omba tena
 
Back
Top Bottom