M moreen mollo Member Joined Feb 21, 2013 Posts 15 Reaction score 8 Nov 5, 2024 #1 Niko katika ufunguzi wa Akaunti ya Kikundi ila ninapata huu ujumbe
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Nov 5, 2024 #2 Kafungulie bank
Sa 7 mchana JF-Expert Member Joined Dec 30, 2018 Posts 5,214 Reaction score 10,276 Nov 5, 2024 #3 Kwako kwenye simu inafunguka
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Nov 5, 2024 #4 B.17 ni nyingi kuliko mtaji M. 34
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Nov 6, 2024 #5 Kikundi kimeshaomba tayari mkopo kwa hiyo huwezi omba tena labda mpaka hayo maombi yawe rejected ndio unaweza omba tena
Kikundi kimeshaomba tayari mkopo kwa hiyo huwezi omba tena labda mpaka hayo maombi yawe rejected ndio unaweza omba tena