Tetesi: Najaribu kujiuliza tu..

Tetesi: Najaribu kujiuliza tu..

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
5,051
Reaction score
5,104
Hivi Ben Saa8 kashapatikana...Vp kuhusu Njaaa nayo ishaakwishaa au bado ipo...Na vipi kuhusu Dikteta kaacha udicteta au anaendeleza na Ile Elimu ya Mkuu wa Nchi hii iliyogeuzwa agenda ya Kitaifa nayo ilishapata majibu...Maswali haya na mengine najiuliza kwa sauti maana sasa hakuna anayeyasemea tena...Sasa hivi Makonda, Wema na Stive Nyerere ndio wameshika kasi...Haya kanyaga twende labda mjadala ukiisha tutakuta mapesa yapo mfukoni..Naendelea kuwaza tuuu...
 
Back
Top Bottom