#COVID19 Najaribu kuona ukubwa COVID-19 uko wapi

#COVID19 Najaribu kuona ukubwa COVID-19 uko wapi

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Kulingana na data za worldmeter, nimeshindwa kupata ukubwa wa corona virus kiasi cha kwamba dunia nzima imetishika sana na wanasiasa kulibeba kama ajenda yao ya kisiasa, japo inaua lakini je...

Nisaidieni kupiga mahesabu kuona ukubwa wa ugonjwa huu kwa kutumia epidemiological facts

Total infections : 532,210,045
Total deaths: 6,312,017
Total recovered :503,169,391

Kuna kitu kinaitwa :moratality rate, incidence rate, fatality rate kama wewe ni msomi jaribu ku calculate and comment on your results
total infections new cases total death new deaths total recovered
World532,210,045+259,0426,312,017+215503,169,391
 
Achana na hizo number, Hangaya keshapiga mzigo, korona ni deni sugu au mkopo wa masharti yasiyojulikana kwa wananchi.

Hapo ndo korona inapotisha, hayo mengine waachie waimba pambio!
 
Achana na hizo number, Hangaya keshapiga mzigo, korona ni deni sugu au mkopo wa masharti yasiyojulikana kwa wananchi.

Hapo ndo korona inapotisha, hayo mengine waachie waimba pambio!
Hahahaaaa
 
Back
Top Bottom