Hapo anatumia web based technologies, def_xcode kama project itakuwa 100% open source nipo tayari kucontribute....C &C++
Ntaleta update... Sema itakuwa slow mkuu maana muda wa kufanya haya na kujifunza unakuwa limited as tunakimbizana na maishaNipo very interested na hii project mzee