Ngoke
JF-Expert Member
- Jun 14, 2020
- 285
- 504
Hapa nmejiona mwenye ndoto kubwa kwa kushiriki kinyangario cha kiwango hichi cha pesa nyingi kwenye Jackoprt.
Kuanzia mwaka 2020 nimekuwa nashiriki kila wiki japo nimewahi kushinda mechi 10 tu na kuambulia bonus ya elfu 50 na mimi nishatumia pesa nyingi lakini sioni hasara maana ni pesa natoa kidogo kidogo kama sehemu ya matumizi yangu.
Sasa kwa wiki hii imepanda zaidi japo nacheza nikijua kuna kupata na kukosa lakini hapa ndipo najiona kuwa mimi ni mtu wa kujaribu mambo makubwa.
Kila la heri kwa mshindi ajaze