Najaribu kuwania Shilingi Bilioni 1.1 SportPesa wiki hii

Ngoke

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2020
Posts
285
Reaction score
504
Hapa nmejiona mwenye ndoto kubwa kwa kushiriki kinyangario cha kiwango hichi cha pesa nyingi kwenye Jackoprt.

Kuanzia mwaka 2020 nimekuwa nashiriki kila wiki japo nimewahi kushinda mechi 10 tu na kuambulia bonus ya elfu 50 na mimi nishatumia pesa nyingi lakini sioni hasara maana ni pesa natoa kidogo kidogo kama sehemu ya matumizi yangu.

Sasa kwa wiki hii imepanda zaidi japo nacheza nikijua kuna kupata na kukosa lakini hapa ndipo najiona kuwa mimi ni mtu wa kujaribu mambo makubwa.

Kila la heri kwa mshindi ajaze
 
Hivi hakuna mwamba hata mmoja anaweza patia team zote 12? Magwiji wa soka mchangamkie hiyo fursa mapema
 
mkubwa umesoma vigezo na masharti vya hayo makorokoro,kuna pahali wanasema kuwa wanayo haki ya kufutilia mbali kimkeka chako
 
mkubwa umesoma vigezo na masharti vya hayo makorokoro,kuna pahali wanasema kuwa wanayo haki ya kufutilia mbali kimkeka chako
ila hawana haki ya kurejesha pesa uliyo bet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…