Jakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani
JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiri graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezaje?
Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa Samia sijui ataimalizaje. Ndio maana anastruggle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.
JK tunakukumbuka sana.