Ni kwa sababu JK alikuwa anaongoza nchi, wakati Hayati JPM yeye alikuwa anaongozewa; na kwa bahati mbaya sana hakuwahi kujua kuwa aalikuwa anaongozewa; yeye alidhani kuwa alikuwa anaongozaJakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani
JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiro graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezaje?
Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa Samia sijui ataimalizaje. Ndio maana anastruggle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.
JK tunakukumbuka sana.
Wewe umeweza niniJakaya Kikwete alitumia miujiza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktari kiasi ambacho watu walikuwa wanapangiwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa fulani
JPM hata mwaka mmoja tu alishindwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiro graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezaje?
Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa Samia sijui ataimalizaje. Ndio maana anastruggle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.
JK tunakukumbuka sana.
Mbona JK aliweza vyote. Wakati wake ndio uliongoza kwa mtandao wa barabara.Vipaumbele. Wakati wa JPM pesa ilielekezwa kwenye miundombinu ya reli, umeme na madaraja makubwa ya juu na chini. Hapo mbona ni rahisi tu kuelewa
Kipi kizuri kwako, ufe ili upate maendeleo ukiwa hujulikani ulipo au uapate neema na uhakika wa kula halafu uinjoy marndeleo. By the way maendeleo ni kuwa na uhakika wa kuishi na kula kwa kupata kipato. Hilo JK alilijua vyema.Hizi nchi zote mnazoziona zimeendelea... wananchi wake wameuawa haswa... tena kwa sheria kali haswa... Watanzania mnapenda kudeka sana.. Jk nchi ilimshinda kabisaa.. sema alikuwa na mahusiano mazuri na wafanyabiashara na wahisani kutoka nje... JPM wananchi tulipigika lakini kuna vitu tuliviona... tena kwa muda mfupi... sasa hali ni mbaya kuliko unavyofikiria...
Ndugu yaani unataka kufananisha ghrama za kujenga sgr, bwawa la nyerere, daraja la mwanza ziwa victoria na kilometa 1000 za lami?Mbona jk aliweza vyote. Wakati wake ndo uliongoza kwa mtandao wa barabara.
Ishu sio kula unakula kwa muda gani? Kuna akiba? Je production zitakuwa endelevu...?..ipi bora kwako furaha ya muda mfupi then upotee..au huzuni ya muda mrefu huku kukiwa na mategemeo ya furaha ya daima?Kipi kizuri kwako, ufe ili upate maendeleo ukiwa hujulikani ulipo au uapate neema na uhakika wa kula halafu uinjoy marndeleo. By the way maendeleo ni kuwa na uhakika wa kuishi na kula kwa kupata kipato. Hilo jk alilijua vyema.
Kwa hiyo una maama kwamba ipo siku ajra yangu hii ya serikali nitanyanganywaIshu sio kula unakula kwa muda gani? Kuna akiba? Je production zitakuwa endelevu...?..ipi bora kwako furaha ya muda mfupi then upotee..au huzuni ya muda mrefu huku kukiwa na mategemeo ya furaha ya daima?
Hilo ni swala la muda tu...subiri bandari ianze ndio utajua asilimia 70...operations zitafanyika kwa machines...na zilizobakia ndio zitafanywa na watu ambao ni skilled haswa..tena ni kazi kwa mkataba..Kwa hiyo una maama kwamba ipo siku ajra yangu hii ya serikali nitanyanganywa
Mkuu umenena umeme kwa kinywa chako...kwamba ndio itasaidia...baba ni baba tu hata akifa utaikuta picha seatroom...mpeni jpm maua yake...Ukigusa Nishati nchi hii umegusa kila kitu..Kosa kubwa la Magu ni kufikiri alikuwa na akili nyingi kuliko wananchi wengine. Miradi yake mingi aliyoianzisha haikuwa/haina faida kwa wananchi walio wengi.
Mfano badala ya kujenga reli ya kisasa, ni bora mara 100 angejenga barabara za lami nchi nzima! Badala ya kununua ndege, angejenga madaraja ya uhakika, vivuko vya uhakika, na stendi za kisasa nchi nzima!! Yaani kidogo ule mradi wa umeme ndiyo utagusa wananchi walio wengi. The rest naona kwa upande wangu ni hasara tu kwa Taifa.
Usiwe kama kiande, hakuna awamu ambayo watu hawakuajiriwaJakaya Kikwete alitumia miauniza gani kuajiri almost wote waliohitimu kipindi chake hasa ualimu na udaktri kiasi ambacho watu walikuwa wanapa giwa bila hata kuomba unajikuta umepangiwa mkoa flani
JPM hata mwaka mmoja tu alishi dwa na kuleta visingizio kibao eti hakuna nchi iliyoajiro graduate wote. Sasa swali linakuja JK aliwezqje?
Mass unemployment aliyoicha JPM mpaka sasa inamtesa samia sijui ataimalizaje. Ndo mana anastrugle sana kuifanya sector binafsi ikue ili angalau kuwapunguza graduate waliopo mtaani. Hali ilikuwa mbaya sana enzi za JPM.
JK tunakukumbuka sana.
Ongezea nyama kidogo chief, una hoja nzitoNi kwa sababu JK alikuwa anaongoza nchi, wakati Hayati JPM yeye alikuwa anaongozewa; na kwa bahati mbaya sana hakuwahi kujua kuwa aalikuwa anaongozewa; yeye alidhani kuwa alikuwa anaongoza
Inabidi tufikie mahali tuache tabia ya kuwahujumu viongozi wetu
Kafikilie upyaHizi nchi zote mnazoziona zimeendelea...wananchi wake wameuawa haswa...tena kwa sheria kali haswa...Watanzania mnapenda kudeka sana..Jk nchi ilimshinda kabisaa..sema alikuwa na mahusiano mazuri na wafanyabiashara na wahisan kutoka nje...JPM wananchi tulipigika lakin kuna vitu tuliviona...tena kwa muda mfupi...sasa hali ni mbaya kuliko unavyofikiria...