Ukifuatilia kwa karibu mbinu za watekaji au ukamataji wa raia ya wasiojulikana na dola zinafanana kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa wasiojulikana wakiteka raia hawarudi lakini dola ikiteka au kamata raia atafikishwa mahakamani siku ya 2 au 3!! Lakini mbinu na mazingira ya ukamataji au utekaji wa wasiojulikana na dola ni yaleyale!!