Ni wale wale kasoro tarehe, waswahili husema shetani ni shetani hata apake pafyumuUkifuatilia kwa karibu mbinu za watekaji au ukamataji wa raia ya wasiojulikana na dola zinafanana kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa wasiojulikana wakiteka raia hawarudi lakini dola ikiteka au kamata raia atafikishwa mahakamani siku ya 2 au 3!! Lakini mbinu na mazingira ya ukamataji au utekaji wa wasiojulikana na dola ni yaleyale!!
Heshimu mamlaka kijana
Na naibu rais
kweli kabisa.....Na naibu rais
shikamoo mkuu!Heshimu mamlaka kijana
Binafsi nahisi hao ni wale wale, tofauti unayoiona inatokana na kinachopelekea mtu kutekwa na baada ya kukuteka wakuache au wakupotezeUkifuatilia kwa karibu mbinu za watekaji au ukamataji wa raia ya wasiojulikana na dola zinafanana kwa kiasi fulani. Tofauti kubwa wasiojulikana wakiteka raia hawarudi lakini dola ikiteka au kamata raia atafikishwa mahakamani siku ya 2 au 3!! Lakini mbinu na mazingira ya ukamataji au utekaji wa wasiojulikana na dola ni yaleyale!!
Kumbe hizi kesi ni za kutengeneza ukikosoa serikali !!