Najaribu waza MMU imenisaidia nin kati yangu mie na My Lurv.. Nakosa Majibu... na Mwaka waisha..

usijali sana Data, ngoja tuwaombe mods na wanajamvi, baadhi ya mawaidha/mafundisho yawe yanatoka na video zinazoonyesha vitendo kabisaaaaa ili huu mwaka unaoanza usitoke kapa l.o.l
 
Post za MBU za kuboresha mahaba nimezifanyia kazi.... Lakin ndo ivyo... Mabint wa kisasa Taaaaabuuuu.... happy ney year MMU.

So, unataka kusema vitini vya huyo mdudu vimegoma kwako???
No wangu.....!
Tunaingia mwaka mpya, usimlaumu mtu hasa wapendwa wa hapa jamvini.....
We just jipange na uanze tena, by the way mapenzi hayana formular.....
Just love her bro!


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…