Najenga chemba nzuri za kisasa kwa bei rafiki

Najenga chemba nzuri za kisasa kwa bei rafiki

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Karibuni sana wakuu kama unahitaji kujengewa Chemba nicheki +255624254690

20240718_173103.jpg
 

Attachments

  • VideoCapture_20240918-143619.jpg
    VideoCapture_20240918-143619.jpg
    710.5 KB · Views: 9
  • VideoCapture_20240918-143724.jpg
    VideoCapture_20240918-143724.jpg
    728.1 KB · Views: 9
Hapa sijaelewa emu tupe maelezo hiki ni nini? Hii Chemba km sijaielewa
Asante sana mkuu kwa swali lako.
Hii nimeijenga kulingana na fundi bomba alivyoweka hizo bomba zake.
Hapo ukianglia hilo bomba kubwa ni la kutoka chooni, na hilo dogo ni bomba la maji ya kunawa, kwa pembeni yake hapo ndipo zinakutana zote. Sijajua kama umeelewa,
Au angalia hii video yake uelewe zaidi.
 
20240523_123324.jpg

Ungeweka package nzima hadi shimo kubwa la majitaka. Mara nyingi watu wanachukua kazi yote.
Hilo ni shimo la kuhifadhi maji ya mvua.
Nilijenga Kinyerezi.
 
Back
Top Bottom