Asante sana mkuu kwa swali lako.
Hii nimeijenga kulingana na fundi bomba alivyoweka hizo bomba zake.
Hapo ukianglia hilo bomba kubwa ni la kutoka chooni, na hilo dogo ni bomba la maji ya kunawa, kwa pembeni yake hapo ndipo zinakutana zote. Sijajua kama umeelewa,
Au angalia hii video yake uelewe zaidi.