Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 345 May 12, 2023 #1 Wajenzi wa vyoo vya kisasa visivyo jaa kabisa .Sifa za mashimo yetu .Hayajai .Hayatoi harufu kabisa .Huondoa kero ya kunyonya maji taka mara kwa mara . Huondoa gharama za kunyonya maji taka .Huchukua eneo dogo sana ya nafasi katika eneo lako .Call us .0743257669 Kwa milioni 1 tu nakukabidhi hapo ni ujenzi ufundi na vifaa hapo hauongezi hata mia. .
Wajenzi wa vyoo vya kisasa visivyo jaa kabisa .Sifa za mashimo yetu .Hayajai .Hayatoi harufu kabisa .Huondoa kero ya kunyonya maji taka mara kwa mara . Huondoa gharama za kunyonya maji taka .Huchukua eneo dogo sana ya nafasi katika eneo lako .Call us .0743257669 Kwa milioni 1 tu nakukabidhi hapo ni ujenzi ufundi na vifaa hapo hauongezi hata mia. .
Ahead JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 2,292 Reaction score 2,566 May 12, 2023 #2 Hata mkoani bei ni hiyo?
S.M.P2503 JF-Expert Member Joined Nov 25, 2008 Posts 2,421 Reaction score 4,344 May 12, 2023 #3 hilo shimo Ni mita ngapi?