Najiajiri kupitia matangazo na promotion

maji ya upako

Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
6
Reaction score
1
Habari wadau . Baada ya kuingia sana humu na kusoma post mbali mbali nimeshawishika na kuamua kujiaji sasa nimeamua kubuni mradi wangu na ninahitaji msaada wenu wa kimawazo na ushirikiano kutoka kwenu ili kufanikisha mradi huu. Baada ya kukaa , kufikiria na kusoma nimeona nijiingize katika biashara yamatangazo sababu kubwa ni kuwa biashara ili ikue na kuendelea lazima sehemu mbili zifanikiwe moja ni kujitangaza(marketing) na la pili ni utawala (management) kwa kutambua hilo . Nimeamua kujiingiza katika biashara ya matangazo.

Nimefungua mradi wangu ambao unahusisha matanganzo kwa kutumia gari (P.A system) . Tunafanya matangazo kama ya semina, kumbi zinazopiga bendi au muziki hoteli, matamasha, maonyesho na hata promotion za kunadi/kutangaza bidhaa mbali mbali kutokana na matakwa ya mteja.

Bei ni nafuu . Napenda kuwakilisha natarajia mchango wenu katika kufanikisha hilo.
tunaweza kuwasiliana 0685100336
 
siku hizi naona thinking capacity yako imeanza ku-improve
 
Back
Top Bottom